Tunapoianzisha safari hii ya mabadiliko katika uhimilivu kamili kwa moyo wa Laudato Si’, Jukwaa Tendaji la Laudato Si’ lina furaha kutoa taarifa za hivi karibuni zaidi kuhusu hatua zijazo katika safari hii....
Kadinali Peter Turkson, Kiranja wa Wizara ya Ukuzaji wa Maendeleo Muhimu ya Kibinadamu, Vatikani, ametangaza kubuniwa kwa Jukwaa Tendaji la Laudato Si’. Jukwaa Tendaji la Laudato Si’ ni mradi wa msingi katika...
Mei 2009, Halibari Aila ilisababisha maafa ya ajabu huko India Bangladesh, na kusababisha vifo mia tatu thelathini na tisa (339) na kuwahamisha nyumbani kwao zaidi ya watu milioni moja. Ongezeko la nguvu,...
Wanachama Maria na Gianni Salerno kwa ushirikiano huliongoza kundi la harakati zinazohusu familia za Jukwaa Tendaji la Laudato Si’. Kote ulimwenguni, Shirika la Focalare, linahuisha Laudato Si’ miongoni mwa jamii kindakindaki, kubwa...
Video kwa hisani ya Muungano wa Kikatoliki wa Afya, Marekani. Zaidi ya mmoja kwa saba ya wagonjwa nchini Marekani hushughulikiwa na hospitali ya Kikatoliki, hii huibua fursa za thamani isiyokadirika ya kugawana...