Jiandikishe
U muumba-mwenza katika mustakabali wetu, na karama zako za kipekee na hekima ya maarifa vinahitajika upesi katika juhudi zetu pamoja ili kuuafiki uhumilivu kamili katika moyo wa ikolojia fungamano.
Tayari unayo akaunti? Ingia hapa.
Mbona ujiandikishe?
Jiandikishe kwenye Jukwaa Tendaji la Laudato Si’ kwa kuandaa Plan yako binafsi ya Laudato Si’. Wale walijiandikishe wana fursa ya kuzifikia nyenzo muhimu na kupihwa jeki katika safari yao.
- Miongozo ya Plani za Laudato Si’ iliyobuniwa kwa ushirikiano wa karibu na mashirika maarufu ya Kikatoliki hutoa mfumo wazi kwa ajili ya kutafakari, kuchukua hatua, na kuyatathmini maendeleo yako kwenye Shabaha za Laudato Si’.
- Hatua Pendekezo, zilizobuniwa kwa ushirikiano na washauri-wataalam na viongozi wa Kikatoliki, hutoa njia halisi za vitendo almuradi kuyahuisha maendeleo yako kwenye ruwaza ya Laudato Si’.
- Mawasiliano ya moja kwa moja na jamii ya wenzako na mashirika maarufu ya Kikatoliki hukupa msukumo mkuu na huandamana nawe.
- Tathmini-binafsi ya mwaka hukupa njia dhahiri kwa ajili ya kukuonyesha na kupimia maendeleo yako kutoka mwaka hadi mwingine.
Bofya hapa ili kuangalia baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara