Safari Yetu Pamoja

Njia wazi kwenye mustakabali bora

Kila safari ya mafanikio huanza na mpango madhubuti.

1. Jiandikishe kwa ufikiaji wa haraka wa nyenzo zinazofaa mahitaji yako, ikiwa ni pamoja na mwongozo wa hatua athirifu zaidi unazoweza kuchukua.

2. Panga kile utakachokifanya mwaka huu na katika miaka ijayo.

3. Pima jinsi matendo yako yanavyoleta mabadiliko.

 

Ili kuboresha ari yako ukiendelea, tafakari Shabaha za Laudato Si’ na uungane moja kwa moja na washiriki wengine wa Jukwaa Tendaji la Laudato Si’.

Ramani

Sisi sote kwa pamoja tunaunda familia ya ulimwengu mzima iliyopewa jukumu na Mungu “kulima na kutunza” bustani ya ulimwengu. ( Mwa 2:15 ) Tumia ramani hii—iliyosasishwa mara kwa mara—ili kuona mashirika ulimwenguni pote ambayo yamejiandikisha katika Jukwaa Tendaji la Laudato Si’ na kukubali kutangaza habari zao hadharani.

Tunayaendesha “mabadiliko makubwa ambayo hali za sasa zinayahitaji.” (LS 171)

Sajili